HALUA CHUNGU VYUONI.
Naitwaa tena kalamu tayari kumwaya wino,mara hii nikiwa nimesonya na kusononeka moyoni.Kwani kulikoni?Kwa muda Sasa taifa letu la Kenya limekuwa likiitathmini elimu kama sekta adhimu nchini Hasa Sana kwa ukuaji na uboreshaji wa uchumi.Namaanisha Nini kwa usemi huu?Elimu ya ngazi ya juu imepewa kipaumbele nchini si tu vyuoni bali hadi kwenye taasisi anuwai za masomo.
Sie wakenya tumeingiwa na ukasumba na ukiritimba potovu kuwa wana wetu wakifuzu na kuitwa kwenye vyuo vikuu basi pana tumaini la maisha bora ya baadaye pasi na kufahamu ni yepi hutokea pindi tu wanapojiunga na vyuo hivyo kwa tukisahau kuwa ufanisi huhitaji jitihada,bidii na ukakamavu masomoni.
Kwa sasa elimu ya vyuo vikuu imegeuka na kuwa karaha kwetu sie wasomi.Mbona hivyo?Sie wanafunzi twajisahau na kujiingiza kwenye lindi la mapenzi na kukosa kutafakari kiini hasa Cha kujiunga na taasisi hizo.Wengi wetu tunajikita kwenye shughuli za kiutu uzima kama vile mapenzi ya kiholela ukiachia mbali kuoana kwa dhana kuwa sir ni watu wazima,tusijue kuwa nazi huharibika ukubwani.
Mwisho wa kwisha,tunasalia kuwa debe tupu na kuwa Ganda la muwa kutokana na madhara ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa,mimba za kiholela, matokeo duni darasani,kukosa kufuzi kwa kutokamilisha masomo na vifo vya wapenzi kuuana nikitaka tu baadhi.
Nimekereketwa main na kutiririkwa na mvua ya majonzi kwa maovu tunayotekekeleza sie wasomi kutoka taasisi mbalimbalu hapa nchini.Ni Mola tu atuepushie.Tukumbuke lengo letu maishani na kutafakari magumu wanayopitia wazazi kuhakikisha kuwa karo inapatikana kufanikisha ndoto zetu jambo linalowafanya wakose hata kopo la maji kwa kutujali sie tusiejijali.Mwenyezi mungu turehemu.
Inatupasa tukumbuke maelfu na mamilioni ya mapeni wanayolipa wazazi ili kufadhili elimu yetu kwa kutambua kuwa mtaka yote hukosa yote na tujukumikeni kwa kuzingatia yaliyotupeleka chuoni.Natumai washikadau kutoka sekta ya elimu wataufikisha ujumbe huu kwa wanafunzi kutoka vyuo vyote nchini nikiwa na imani kuwa tutabadilika baada ya kusoma ujumbe huu. Kila la heri.
Ni mie Shem Felix Ashikumba,mwanafunzi kutoka kitengo Cha habari na mawasiliano kwenye chuo kikuu Cha ufundi Mombasa (Technical University of Mombasa)TUM.
Great Article 😊
ReplyDeleteGood
DeleteGood one 💯
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteKweli mswahili..👌
ReplyDeleteMhariri wangu ashaeleza aliye na masikio naa afanye nini .....
ReplyDeleteSomething must kill a man kama tunavyosema kwa kimombo, na wakati huu naona ni mapenzi juu wueh!
ReplyDeleteManeno halisi
ReplyDeletekazi nzuri
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteHeko 💯🔥🔥
ReplyDeleteGood article
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteNice one👌
ReplyDeleteNice article
ReplyDeleteHongera
ReplyDeleteGreat article 👏
ReplyDeleteNakala safi sana🔥
ReplyDeleteNice article
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteNi kweli
ReplyDeleteTufikirie shida wanazo pitia wazazi kwanza
Ukweli mtupu kazi nzuri
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteHongera kaka
ReplyDeleteKweli tupu.🔥🔥
ReplyDeleteHongera kwa kazi hii
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteSwadakta mkuu👊👊
ReplyDeleteKuntuu
ReplyDeleteAwesome piece
ReplyDeleteKazı safi mkuu
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteSafi sanaa👌
ReplyDeleteKazi safiu
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteHongera
ReplyDeleteKazi saf
ReplyDeleteGood work Kirangi blogs 🙏 May God inspire you to keep moving
ReplyDeleteNakala nzuri.
ReplyDeleteThanks to all
ReplyDeleteTrue👌
ReplyDeleteKiswahili kitukuzwe.... Mwandishi bora wewe
ReplyDeleteHongera
ReplyDeleteThanks again to all🙏🙏🙏
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteGwiji
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteKaz murua
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteWow
ReplyDelete